sw_tn/mat/01/24.md

20 lines
434 B
Markdown

# Maelezo yanayo unganisha:
Mwandishi anahitimisha maelezo ya matukio kuelekea kuzaliwa kwa Yesu.
# kama malaika wa Bwana alivyoamuru
Malaika alikuwa amemwambia Yusufu kumchukua Mariamu kama mke wake na kumpa mtoto jina Yesu.
# akamchukua kama mke wake
"alimwoa Mariamu"
# kwa mwana
Hakika ni wazi kuwa Yusufu si baba halisi "kwa mtoto wa kiume" au "kwa mwana wake."
# Na alimwita jina lake Yesu
"Yusufu alimwita mtoto Yesu"