# Maelezo yanayo unganisha: Mwandishi anahitimisha maelezo ya matukio kuelekea kuzaliwa kwa Yesu. # kama malaika wa Bwana alivyoamuru Malaika alikuwa amemwambia Yusufu kumchukua Mariamu kama mke wake na kumpa mtoto jina Yesu. # akamchukua kama mke wake "alimwoa Mariamu" # kwa mwana Hakika ni wazi kuwa Yusufu si baba halisi "kwa mtoto wa kiume" au "kwa mwana wake." # Na alimwita jina lake Yesu "Yusufu alimwita mtoto Yesu"