sw_tn/luk/22/61.md

260 B

neno la Bwana

Tafsiri mbadala: "Neno la Yesu" au "Kile ambacho Yesu alikuwa amekisema"

leo

Yesu alikuwa ameishaongea jioni iliyopita kile kitakacho tokea muda si mrefu kabla ya jua kuchomoza au katika kuchomoza kwa jua. Tafsiri mbadala: "Usiku wa leo."