# neno la Bwana Tafsiri mbadala: "Neno la Yesu" au "Kile ambacho Yesu alikuwa amekisema" # leo Yesu alikuwa ameishaongea jioni iliyopita kile kitakacho tokea muda si mrefu kabla ya jua kuchomoza au katika kuchomoza kwa jua. Tafsiri mbadala: "Usiku wa leo."