sw_tn/luk/22/21.md

497 B

Yeye anisalitie

"Yeye atakaye nisaliti"

Kwa maana Mwana wa Adamu kwa kweli aenda zake

"Kwa kweli Mwana wa Adamu atakwenda" au "Kwa maana Mwana wa Adamu atakufa"

kama ilivyokwisha amuliwa

Tafsiri mbadala: "kama Mungu alivyokwisha amua" au "kama Mungu alivyokwisha kupanga"

Lakini ole kwa mtu yule ambaye kupitia yeye Mwana wa Adamu asalitiwa

Tafsiri mbadala: "Lakini ole kwa mtu yule amsalitie Mwana wa Adamu!" au "Lakini ni hatari kiasi gani kwa mtu yule amsalitie Mwana wa Adamu!"