# Yeye anisalitie "Yeye atakaye nisaliti" # Kwa maana Mwana wa Adamu kwa kweli aenda zake "Kwa kweli Mwana wa Adamu atakwenda" au "Kwa maana Mwana wa Adamu atakufa" # kama ilivyokwisha amuliwa Tafsiri mbadala: "kama Mungu alivyokwisha amua" au "kama Mungu alivyokwisha kupanga" # Lakini ole kwa mtu yule ambaye kupitia yeye Mwana wa Adamu asalitiwa Tafsiri mbadala: "Lakini ole kwa mtu yule amsalitie Mwana wa Adamu!" au "Lakini ni hatari kiasi gani kwa mtu yule amsalitie Mwana wa Adamu!"