sw_tn/luk/22/21.md

16 lines
497 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yeye anisalitie
"Yeye atakaye nisaliti"
# Kwa maana Mwana wa Adamu kwa kweli aenda zake
"Kwa kweli Mwana wa Adamu atakwenda" au "Kwa maana Mwana wa Adamu atakufa"
# kama ilivyokwisha amuliwa
Tafsiri mbadala: "kama Mungu alivyokwisha amua" au "kama Mungu alivyokwisha kupanga"
# Lakini ole kwa mtu yule ambaye kupitia yeye Mwana wa Adamu asalitiwa
Tafsiri mbadala: "Lakini ole kwa mtu yule amsalitie Mwana wa Adamu!" au "Lakini ni hatari kiasi gani kwa mtu yule amsalitie Mwana wa Adamu!"