sw_tn/luk/21/01.md

692 B

mjane mmoja maskini

Hii ni namna ya kutambulisha mtu mpya katika hadithi

zawadi

"zawadi za fedha"

hazina

"sanduku la makusanyo" au "sanduku la fedha". Hili lilikuwa moja ya masanduku pale hekaluni ambapo watu huweka fedha kama zawadi kwa Mungu.

senti mbili

"sarafu mbili ndogo" au "sarafu za shaba ndogo sana". Hizi zilikuwa ni sarafu zenye thamani ndogo sana ambazo watu walizitumia siku hizo.

Nawaambieni

Yesu alikuwa akiongea na wanafunzi wake.

wametoa hizi zawadi kutoka katika vingi walivyonavyo

Tafsiri mbadala:"kuwa na fedha nyingi na kutoa baadhi ya hizo"

katika umaskini wake, ametoa zote

Tafsiri mbadala:"alikuwa na vichache sana, na bado aliweka vyote"