sw_tn/luk/21/01.md

28 lines
692 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mjane mmoja maskini
Hii ni namna ya kutambulisha mtu mpya katika hadithi
# zawadi
"zawadi za fedha"
# hazina
"sanduku la makusanyo" au "sanduku la fedha". Hili lilikuwa moja ya masanduku pale hekaluni ambapo watu huweka fedha kama zawadi kwa Mungu.
# senti mbili
"sarafu mbili ndogo" au "sarafu za shaba ndogo sana". Hizi zilikuwa ni sarafu zenye thamani ndogo sana ambazo watu walizitumia siku hizo.
# Nawaambieni
Yesu alikuwa akiongea na wanafunzi wake.
# wametoa hizi zawadi kutoka katika vingi walivyonavyo
Tafsiri mbadala:"kuwa na fedha nyingi na kutoa baadhi ya hizo"
# katika umaskini wake, ametoa zote
Tafsiri mbadala:"alikuwa na vichache sana, na bado aliweka vyote"