sw_tn/luk/19/20.md

16 lines
411 B
Markdown

# Mtu mkali
'Mtu wakali' au 'mtu ambaye anatarajia mengi toka kwa watumishi wake'
# Unachukua kile usichokiweka
Ni fumbo linaloelezea mtu mkorofi. "unaondoa kitu asichokiweka" au "unachukua kitu ambacho sio chako."
# Kuvuna kile usichopanda
"Kuvuna usichokipanda." Mtumishi alikuwa anamfananisha bwana wake na mkulima anayechukua chakula ambacho mtu mwingine alikipanda.
# Kuvuna
"kukusanya" au "kuweka"