sw_tn/luk/19/20.md

411 B

Mtu mkali

'Mtu wakali' au 'mtu ambaye anatarajia mengi toka kwa watumishi wake'

Unachukua kile usichokiweka

Ni fumbo linaloelezea mtu mkorofi. "unaondoa kitu asichokiweka" au "unachukua kitu ambacho sio chako."

Kuvuna kile usichopanda

"Kuvuna usichokipanda." Mtumishi alikuwa anamfananisha bwana wake na mkulima anayechukua chakula ambacho mtu mwingine alikipanda.

Kuvuna

"kukusanya" au "kuweka"