# Mtu mkali 'Mtu wakali' au 'mtu ambaye anatarajia mengi toka kwa watumishi wake' # Unachukua kile usichokiweka Ni fumbo linaloelezea mtu mkorofi. "unaondoa kitu asichokiweka" au "unachukua kitu ambacho sio chako." # Kuvuna kile usichopanda "Kuvuna usichokipanda." Mtumishi alikuwa anamfananisha bwana wake na mkulima anayechukua chakula ambacho mtu mwingine alikipanda. # Kuvuna "kukusanya" au "kuweka"