sw_tn/luk/18/03.md

773 B

Sasa kulikuwa na mjane

Yesu alitumia neno hili kumtambulisha mtu mwingine kwenye simulizi.

Mjane

Ni mwanamke ambaye mume wake amekufa. Watu waliomsikiliza Yesu watafikiri kuwa ni mtu ambaye hamna mtu wa kumlinda kutoka kwa wale wanaotaka kumuumiza.

Alimwendea mara nyingi

Neno "yeye" linamaanisha hakimu.

Nisaidie kupata haki dhidi

"waadhibu" au "nisaidie"

Mpinzani wangu

"adui yangu" au "mtu anayejaribu kuniumiza." Huyu ni mpinzani katika mabo ya sheria. Hipo wazi kuwa mwanamke anamshitaki yule mtu au yule mtu anamshitaki mwanamke.

Kumwogopa Mungu

"ogopa Mungu"

Mtu

Hii inamaanisha "watu" kwa ujumla.

Ananisababishia matatizo

"Ananisumbua"

Asinichoshe

"asije akanisumbua"

Kwa kunijia mara kwa mara

"kwa kuja kwangu mara kwa mara"