sw_tn/luk/18/03.md

40 lines
773 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa kulikuwa na mjane
Yesu alitumia neno hili kumtambulisha mtu mwingine kwenye simulizi.
# Mjane
Ni mwanamke ambaye mume wake amekufa. Watu waliomsikiliza Yesu watafikiri kuwa ni mtu ambaye hamna mtu wa kumlinda kutoka kwa wale wanaotaka kumuumiza.
# Alimwendea mara nyingi
Neno "yeye" linamaanisha hakimu.
# Nisaidie kupata haki dhidi
"waadhibu" au "nisaidie"
# Mpinzani wangu
"adui yangu" au "mtu anayejaribu kuniumiza." Huyu ni mpinzani katika mabo ya sheria. Hipo wazi kuwa mwanamke anamshitaki yule mtu au yule mtu anamshitaki mwanamke.
# Kumwogopa Mungu
"ogopa Mungu"
# Mtu
Hii inamaanisha "watu" kwa ujumla.
# Ananisababishia matatizo
"Ananisumbua"
# Asinichoshe
"asije akanisumbua"
# Kwa kunijia mara kwa mara
"kwa kuja kwangu mara kwa mara"