forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
724 B
Markdown
20 lines
724 B
Markdown
# Habari kwa ujumla:
|
||
|
||
Hii ni sehemu ya pili ya hadithi. Hatujui ambapo hili limetokea; ni siku moja wakati Yesu akizungumza na Mafarisayo.
|
||
|
||
# Alipoulizwa na mafarisayo ufalme wa Mungu utakuja lini, Yesu akawajibu akisema,
|
||
|
||
Hii inaweza semwa kama: "wakamuuliza 'Lini Utawala wa Mungu utakuja?"
|
||
|
||
# Alipoulizwa na Mafarisayo
|
||
|
||
Huu ni mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi. Baadhi ya tafsiri huanza kwa "Siku moja" au "Mara."
|
||
|
||
# Ufalme wa Mungu sio kitu ambacho kinaweza kuonekana
|
||
|
||
Hii inaweza kusemwa: "Ufalme wa Mungu si kitu ambacho unaweza kuona kwa macho yako" au "Ingawa unanngalia Ufalme wa Mungu, huwezi kuuona"
|
||
|
||
# Utawala wa Mungu uko kati yenu
|
||
|
||
"Utawala wa Mungu uko hapa" au "Mungu tayari ameanza kutawala kati yenu"
|