sw_tn/luk/17/20.md

724 B
Raw Permalink Blame History

Habari kwa ujumla:

Hii ni sehemu ya pili ya hadithi. Hatujui ambapo hili limetokea; ni siku moja wakati Yesu akizungumza na Mafarisayo.

Alipoulizwa na mafarisayo ufalme wa Mungu utakuja lini, Yesu akawajibu akisema,

Hii inaweza semwa kama: "wakamuuliza 'Lini Utawala wa Mungu utakuja?"

Alipoulizwa na Mafarisayo

Huu ni mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi. Baadhi ya tafsiri huanza kwa "Siku moja" au "Mara."

Ufalme wa Mungu sio kitu ambacho kinaweza kuonekana

Hii inaweza kusemwa: "Ufalme wa Mungu si kitu ambacho unaweza kuona kwa macho yako" au "Ingawa unanngalia Ufalme wa Mungu, huwezi kuuona"

Utawala wa Mungu uko kati yenu

"Utawala wa Mungu uko hapa" au "Mungu tayari ameanza kutawala kati yenu"