sw_tn/luk/17/05.md

28 lines
791 B
Markdown

# Habari kwa ujumla:
Kuna mapumziko mafupi katika mafundisho ya Yesu wakati wanafunzi wakizungumza nae. Kisha Yesu anaendelea kufundisha.
# Kuongeza imani yetu
"Tafadhali tuongezee imani"
# Kama imani yenu ingekuwa kama mbegu ya haradali
"haradali" ni mbegu ndogo sana. Yesu ana maana kwamba hawakuwa na hata kiasi kidogo cha imani.
# mti huu wa mkuyu
"mtini" au "mti"
# Kungooka na kupandwa baharini
hii inaweza semwa kama: "kujing'oa mwenyewe na kujipanda mwenyewe baharini" au "Chukua mizizi yako nje ya ardhi, na kuweka mizizi yako ndani ya bahari"
# ungewatii
"mti ungewatii." Matokeo haya ni masharti. ingeweza kutokea tu kama walikuwa na imani.
# mti huu wa mkuyu
Kama aina hii ya mti haufahamiki, inaweza kuwa na manufaa mbadala aina nyingine ya mti. "mtini" au "mti"