# Habari kwa ujumla: Kuna mapumziko mafupi katika mafundisho ya Yesu wakati wanafunzi wakizungumza nae. Kisha Yesu anaendelea kufundisha. # Kuongeza imani yetu "Tafadhali tuongezee imani" # Kama imani yenu ingekuwa kama mbegu ya haradali "haradali" ni mbegu ndogo sana. Yesu ana maana kwamba hawakuwa na hata kiasi kidogo cha imani. # mti huu wa mkuyu "mtini" au "mti" # Kungooka na kupandwa baharini hii inaweza semwa kama: "kujing'oa mwenyewe na kujipanda mwenyewe baharini" au "Chukua mizizi yako nje ya ardhi, na kuweka mizizi yako ndani ya bahari" # ungewatii "mti ungewatii." Matokeo haya ni masharti. ingeweza kutokea tu kama walikuwa na imani. # mti huu wa mkuyu Kama aina hii ya mti haufahamiki, inaweza kuwa na manufaa mbadala aina nyingine ya mti. "mtini" au "mti"