forked from WA-Catalog/sw_tn
791 B
791 B
Habari kwa ujumla:
Kuna mapumziko mafupi katika mafundisho ya Yesu wakati wanafunzi wakizungumza nae. Kisha Yesu anaendelea kufundisha.
Kuongeza imani yetu
"Tafadhali tuongezee imani"
Kama imani yenu ingekuwa kama mbegu ya haradali
"haradali" ni mbegu ndogo sana. Yesu ana maana kwamba hawakuwa na hata kiasi kidogo cha imani.
mti huu wa mkuyu
"mtini" au "mti"
Kungooka na kupandwa baharini
hii inaweza semwa kama: "kujing'oa mwenyewe na kujipanda mwenyewe baharini" au "Chukua mizizi yako nje ya ardhi, na kuweka mizizi yako ndani ya bahari"
ungewatii
"mti ungewatii." Matokeo haya ni masharti. ingeweza kutokea tu kama walikuwa na imani.
mti huu wa mkuyu
Kama aina hii ya mti haufahamiki, inaweza kuwa na manufaa mbadala aina nyingine ya mti. "mtini" au "mti"