sw_tn/luk/15/01.md

644 B

Habari kwa ujumla

Hii ni sehemu ya pili ya hadithi. Hatujui sehemu ambapo haya yalijir; ni tu siku moja wakati Yesu alikuwa akifundisha.

Sasa

hii ni mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi.

Mtu huyu anakaribisha wenye dhambi

"Mtu huyu amaleta wenye dhambi mbele yake" au "Mtu huyu ameshiriki na wenye dhambi"

Mtu huyu

Walikuwa wakizungumza kuhusu Yesu.

hata anakula nao

neno "hata" inaonyesha kwamba wao walidhani ilikuwa mbaya kwamba Yesu kuruhusu wenye dhambi kuja kwake, lakini ilikuwa mbaya zaidi kwamba angeweza kula pamoja nao.

Watoza ushuru wote.

Hii ni kusisitiza kuwa kulikuwa na watu wengi sana. "watoza ushuru wengi"