# Habari kwa ujumla Hii ni sehemu ya pili ya hadithi. Hatujui sehemu ambapo haya yalijir; ni tu siku moja wakati Yesu alikuwa akifundisha. # Sasa hii ni mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi. # Mtu huyu anakaribisha wenye dhambi "Mtu huyu amaleta wenye dhambi mbele yake" au "Mtu huyu ameshiriki na wenye dhambi" # Mtu huyu Walikuwa wakizungumza kuhusu Yesu. # hata anakula nao neno "hata" inaonyesha kwamba wao walidhani ilikuwa mbaya kwamba Yesu kuruhusu wenye dhambi kuja kwake, lakini ilikuwa mbaya zaidi kwamba angeweza kula pamoja nao. # Watoza ushuru wote. Hii ni kusisitiza kuwa kulikuwa na watu wengi sana. "watoza ushuru wengi"