sw_tn/luk/15/01.md

24 lines
644 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Habari kwa ujumla
Hii ni sehemu ya pili ya hadithi. Hatujui sehemu ambapo haya yalijir; ni tu siku moja wakati Yesu alikuwa akifundisha.
# Sasa
hii ni mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi.
# Mtu huyu anakaribisha wenye dhambi
"Mtu huyu amaleta wenye dhambi mbele yake" au "Mtu huyu ameshiriki na wenye dhambi"
# Mtu huyu
Walikuwa wakizungumza kuhusu Yesu.
# hata anakula nao
neno "hata" inaonyesha kwamba wao walidhani ilikuwa mbaya kwamba Yesu kuruhusu wenye dhambi kuja kwake, lakini ilikuwa mbaya zaidi kwamba angeweza kula pamoja nao.
# Watoza ushuru wote.
Hii ni kusisitiza kuwa kulikuwa na watu wengi sana. "watoza ushuru wengi"