sw_tn/luk/14/15.md

24 lines
575 B
Markdown

# Habari za jumla
Mmoja wa watu katika meza anaongea na Yesu na Yesu anajibu kwa kuwaeleza mfano
# Heri yeye
mtu alikuwa si akizungumza juu ya mtu fulani. AT "Amebarikiwa mtu yeyote ambaye" au" Jinsi nzuri ni kwa kila mtu. "
# yeyeto atakae kula mkate
neno "mkate" hutumika kwa kutaja mlo mzima" AT "ambao kula katika mlo."
# Lakini Yesu akamuambia
Yesu akaanza kuelezea mfano
# Wakati chakula cha jioni kikiwa kimeandaliwa
AT "Wakati huo kwa chakula cha jioni" au "Wakati chakula cha jioni kikiwa tayari kuanza"
# wale walioalikwa
AT "wale waliokuwa wamealikwa"