sw_tn/luk/14/15.md

575 B

Habari za jumla

Mmoja wa watu katika meza anaongea na Yesu na Yesu anajibu kwa kuwaeleza mfano

Heri yeye

mtu alikuwa si akizungumza juu ya mtu fulani. AT "Amebarikiwa mtu yeyote ambaye" au" Jinsi nzuri ni kwa kila mtu. "

yeyeto atakae kula mkate

neno "mkate" hutumika kwa kutaja mlo mzima" AT "ambao kula katika mlo."

Lakini Yesu akamuambia

Yesu akaanza kuelezea mfano

Wakati chakula cha jioni kikiwa kimeandaliwa

AT "Wakati huo kwa chakula cha jioni" au "Wakati chakula cha jioni kikiwa tayari kuanza"

wale walioalikwa

AT "wale waliokuwa wamealikwa"