sw_tn/luk/12/51.md

20 lines
592 B
Markdown

# Je mnafikiri kuwa nimekuja kuleta amani duniani?
Yesu alitumia swali kufundisha wanafunzi wake. Watu walimtegemea Masiha awaletee amani kwa maadui wao. "Msifikiri kuwa nimekuja kuleta amani duniani"
# lakini badala yake mgawanyiko
" lakini nimekuja kuleta mgawanyiko" au "watu watakuwa wakigawanyika miongoni mwao kwa sababu nimekuja"
# mgawaniko
"uadui" au "kutoelewana"
# kutakuwa na watu watano katika nyumba moja wamegawanyika
Hii ni mfano wa aina ya mgawanyiko utakao kuwepo kwenye familia.
# kutakuwa na watano katika nyumba moja
kutakuwepo na watu watano katika nyumba moja