sw_tn/luk/12/51.md

592 B

Je mnafikiri kuwa nimekuja kuleta amani duniani?

Yesu alitumia swali kufundisha wanafunzi wake. Watu walimtegemea Masiha awaletee amani kwa maadui wao. "Msifikiri kuwa nimekuja kuleta amani duniani"

lakini badala yake mgawanyiko

" lakini nimekuja kuleta mgawanyiko" au "watu watakuwa wakigawanyika miongoni mwao kwa sababu nimekuja"

mgawaniko

"uadui" au "kutoelewana"

kutakuwa na watu watano katika nyumba moja wamegawanyika

Hii ni mfano wa aina ya mgawanyiko utakao kuwepo kwenye familia.

kutakuwa na watano katika nyumba moja

kutakuwepo na watu watano katika nyumba moja