# Je mnafikiri kuwa nimekuja kuleta amani duniani? Yesu alitumia swali kufundisha wanafunzi wake. Watu walimtegemea Masiha awaletee amani kwa maadui wao. "Msifikiri kuwa nimekuja kuleta amani duniani" # lakini badala yake mgawanyiko " lakini nimekuja kuleta mgawanyiko" au "watu watakuwa wakigawanyika miongoni mwao kwa sababu nimekuja" # mgawaniko "uadui" au "kutoelewana" # kutakuwa na watu watano katika nyumba moja wamegawanyika Hii ni mfano wa aina ya mgawanyiko utakao kuwepo kwenye familia. # kutakuwa na watano katika nyumba moja kutakuwepo na watu watano katika nyumba moja