sw_tn/luk/12/41.md

879 B

Kauli inayounganisha

Katika mstari wa 42, Yesu aliendelea kuelezea mfano

Kauli ya jumla

Katika mstari wa 41, kuna katizo katika kuelezea mfano kwani Petro alimuuliza Yesu swali kuhusu mfano.

Ni nani...kwa wakati mwafaka

Yesu alitumia swali kufundisha watu. Yesu hakujibu swali la Petro moja kwa moja, lakini alitegemea wale wanaotaka kuwa watumwa waaminifu kuwa mfano huo inawahusu wao. " Nimesema kwa kila mmoja ambaye ..kwa wakati mwafaka.

Mtumwa mwaminifu na mwenye hekima

Yesu alielezea mfano mwingine wa jinsi watumishi wanavyotakiwa kuwa waaminifu wakati wanamngoja bwana wao arudi.

ambaye bwana wake atamuweka juu ya watumishi wengine

"ambaye bwana wake atamuweka kuwa mtawala wa wengine"

Amebarikiwa mtumishi yule

"Itakuwa heri kwa mtumishi yule"

ambaye bwana wake akija atamkuta akifanya

"kama bwana wake akirudi atamkuta akifanya kazi hiyo"