sw_tn/luk/12/41.md

28 lines
879 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli inayounganisha
Katika mstari wa 42, Yesu aliendelea kuelezea mfano
# Kauli ya jumla
Katika mstari wa 41, kuna katizo katika kuelezea mfano kwani Petro alimuuliza Yesu swali kuhusu mfano.
# Ni nani...kwa wakati mwafaka
Yesu alitumia swali kufundisha watu. Yesu hakujibu swali la Petro moja kwa moja, lakini alitegemea wale wanaotaka kuwa watumwa waaminifu kuwa mfano huo inawahusu wao. " Nimesema kwa kila mmoja ambaye ..kwa wakati mwafaka.
# Mtumwa mwaminifu na mwenye hekima
Yesu alielezea mfano mwingine wa jinsi watumishi wanavyotakiwa kuwa waaminifu wakati wanamngoja bwana wao arudi.
# ambaye bwana wake atamuweka juu ya watumishi wengine
"ambaye bwana wake atamuweka kuwa mtawala wa wengine"
# Amebarikiwa mtumishi yule
"Itakuwa heri kwa mtumishi yule"
# ambaye bwana wake akija atamkuta akifanya
"kama bwana wake akirudi atamkuta akifanya kazi hiyo"