sw_tn/luk/12/20.md

688 B

kauli inayounganisha

Yesu alinukuu jinsi Mungu alivyomjibu mtu tajiri, alipokuwa anamalizia hadithi yake.

usiku wa leo wanahitaji roho kutoka kwako

"utakufa usiku wa leo" au " Nitaichukuwa uhai wako kutoka kwako leo"

na vitu vyote ulivyoviandaa vitakuwa vya nani?

"nani atamiliki vitu ulivyo hifadhi?" au " ni nani atakayekuwa nayo vitu ulivyoviandaa?" Mungu alitumia swali kumfanya mtu atambue kuwa hatamiliki tena vitu hivyo.

anayejiwekea mali

"kuhifadhi vitu vya dhamani"

na si tajiri

"maskini"

kwa ajili ya Mungu

Maana yake ni kwamba mtu huyu hakuwa anajali vitu vilivyo muhimu kwa Mungu, au kuwa Mungu atamlipa. "kwa mtazamo wa Mungu" au "kulingana na Mungu"