sw_tn/luk/12/20.md

24 lines
688 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kauli inayounganisha
Yesu alinukuu jinsi Mungu alivyomjibu mtu tajiri, alipokuwa anamalizia hadithi yake.
# usiku wa leo wanahitaji roho kutoka kwako
"utakufa usiku wa leo" au " Nitaichukuwa uhai wako kutoka kwako leo"
# na vitu vyote ulivyoviandaa vitakuwa vya nani?
"nani atamiliki vitu ulivyo hifadhi?" au " ni nani atakayekuwa nayo vitu ulivyoviandaa?" Mungu alitumia swali kumfanya mtu atambue kuwa hatamiliki tena vitu hivyo.
# anayejiwekea mali
"kuhifadhi vitu vya dhamani"
# na si tajiri
"maskini"
# kwa ajili ya Mungu
Maana yake ni kwamba mtu huyu hakuwa anajali vitu vilivyo muhimu kwa Mungu, au kuwa Mungu atamlipa. "kwa mtazamo wa Mungu" au "kulingana na Mungu"