# kauli inayounganisha Yesu alinukuu jinsi Mungu alivyomjibu mtu tajiri, alipokuwa anamalizia hadithi yake. # usiku wa leo wanahitaji roho kutoka kwako "utakufa usiku wa leo" au " Nitaichukuwa uhai wako kutoka kwako leo" # na vitu vyote ulivyoviandaa vitakuwa vya nani? "nani atamiliki vitu ulivyo hifadhi?" au " ni nani atakayekuwa nayo vitu ulivyoviandaa?" Mungu alitumia swali kumfanya mtu atambue kuwa hatamiliki tena vitu hivyo. # anayejiwekea mali "kuhifadhi vitu vya dhamani" # na si tajiri "maskini" # kwa ajili ya Mungu Maana yake ni kwamba mtu huyu hakuwa anajali vitu vilivyo muhimu kwa Mungu, au kuwa Mungu atamlipa. "kwa mtazamo wa Mungu" au "kulingana na Mungu"