sw_tn/luk/11/37.md

435 B

Habari ya Jumla

Huu ni mwanzo wa sehemu iliyofuata ya hadithi. Yesu alikaribishwa kula nyumbani mwa Mfarisayo

akawa pamoja nao

"kukaa katika meza". " ilikuwa ni desturi kwa chakula kama hii wanaume kula wakiwa wamekaa vizuri kwa kustarehe kwenye meza"

kunawa

Mafarisayo wana sheria ya kuwa watu ni lazima wanawe mikono yao ili waonekane kuwa wasafi mbele za Mungu. "kunawa mikono" au "kunawa mikono ili kuwa msafi kiibada"