# Habari ya Jumla Huu ni mwanzo wa sehemu iliyofuata ya hadithi. Yesu alikaribishwa kula nyumbani mwa Mfarisayo # akawa pamoja nao "kukaa katika meza". " ilikuwa ni desturi kwa chakula kama hii wanaume kula wakiwa wamekaa vizuri kwa kustarehe kwenye meza" # kunawa Mafarisayo wana sheria ya kuwa watu ni lazima wanawe mikono yao ili waonekane kuwa wasafi mbele za Mungu. "kunawa mikono" au "kunawa mikono ili kuwa msafi kiibada"