sw_tn/luk/10/29.md

16 lines
511 B
Markdown

# Lakini mwalimu, akitamani kujibibitisha kuwa
Lakini alijaribu kutafuta njia ya kujisafisha yeye mwenyewe, hivyo akasema" au " lakini akataka kuonekana kuwa ni mwenye haki, akasema"
# Akajibu, Yesu akasema
Yesu akamjibu yule mtu kwa kumwambia fumbo AT: " kwa kumjibu Yesu akamwambia simulizi hii"
# Akaangukia kati ya wanyang'anyi,
" Alizungukwa na wanyang'anyi" au "wanyang'anyi wakamteka".
# Wakamvuaa na kumnyang'anya vya kwake
"Walimchukulia vyote alivyokuwa navyo" au "Wakamuibia vitu vyake vyote"