sw_tn/luk/10/29.md

511 B

Lakini mwalimu, akitamani kujibibitisha kuwa

Lakini alijaribu kutafuta njia ya kujisafisha yeye mwenyewe, hivyo akasema" au " lakini akataka kuonekana kuwa ni mwenye haki, akasema"

Akajibu, Yesu akasema

Yesu akamjibu yule mtu kwa kumwambia fumbo AT: " kwa kumjibu Yesu akamwambia simulizi hii"

Akaangukia kati ya wanyang'anyi,

" Alizungukwa na wanyang'anyi" au "wanyang'anyi wakamteka".

Wakamvuaa na kumnyang'anya vya kwake

"Walimchukulia vyote alivyokuwa navyo" au "Wakamuibia vitu vyake vyote"