# Lakini mwalimu, akitamani kujibibitisha kuwa Lakini alijaribu kutafuta njia ya kujisafisha yeye mwenyewe, hivyo akasema" au " lakini akataka kuonekana kuwa ni mwenye haki, akasema" # Akajibu, Yesu akasema Yesu akamjibu yule mtu kwa kumwambia fumbo AT: " kwa kumjibu Yesu akamwambia simulizi hii" # Akaangukia kati ya wanyang'anyi, " Alizungukwa na wanyang'anyi" au "wanyang'anyi wakamteka". # Wakamvuaa na kumnyang'anya vya kwake "Walimchukulia vyote alivyokuwa navyo" au "Wakamuibia vitu vyake vyote"