sw_tn/luk/10/21.md

746 B

Bwana wa mbingu na dunia

AT: "Mtawala juu ya kilammoja na kilakitu mbinguni na duniani"

Vitu hivi

Hii inarejea mafundisho ya nyuma ya Yesu juu ya mamlaka ya wanafunzi wake. Inaweza kuwa rahisi kusema " vitu hivi" na msomi aweze kuielewa maana.

Wenye hekima na ufahamu

" kutoka kwa watu wenye hekima na ufahamu". AT: "kutoka kwa watu wanaofikiri kuwa waoni wenye hekima na ufahamu".

kwa wasio fundishwa

Hii inamaanisha wale watu wasio waza kuwa wao ni wenye hekima na wanawiwa kuyapokea mafundisho ya Yesu.

Kama watoto wadogo

"kama watoto wadogo". hii inawakilisha watu wanaojua ya kuwa si wenye hekima na maarifa.

kwa kuwa ilikuwa nzuri na kupendeza katika macho yako.

SAT: "kwa nyie mkiyafanya haya, yanawapendeza ninyi".