sw_tn/luk/10/21.md

24 lines
746 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Bwana wa mbingu na dunia
AT: "Mtawala juu ya kilammoja na kilakitu mbinguni na duniani"
# Vitu hivi
Hii inarejea mafundisho ya nyuma ya Yesu juu ya mamlaka ya wanafunzi wake. Inaweza kuwa rahisi kusema " vitu hivi" na msomi aweze kuielewa maana.
# Wenye hekima na ufahamu
" kutoka kwa watu wenye hekima na ufahamu". AT: "kutoka kwa watu wanaofikiri kuwa waoni wenye hekima na ufahamu".
# kwa wasio fundishwa
Hii inamaanisha wale watu wasio waza kuwa wao ni wenye hekima na wanawiwa kuyapokea mafundisho ya Yesu.
# Kama watoto wadogo
"kama watoto wadogo". hii inawakilisha watu wanaojua ya kuwa si wenye hekima na maarifa.
# kwa kuwa ilikuwa nzuri na kupendeza katika macho yako.
SAT: "kwa nyie mkiyafanya haya, yanawapendeza ninyi".