# Bwana wa mbingu na dunia AT: "Mtawala juu ya kilammoja na kilakitu mbinguni na duniani" # Vitu hivi Hii inarejea mafundisho ya nyuma ya Yesu juu ya mamlaka ya wanafunzi wake. Inaweza kuwa rahisi kusema " vitu hivi" na msomi aweze kuielewa maana. # Wenye hekima na ufahamu " kutoka kwa watu wenye hekima na ufahamu". AT: "kutoka kwa watu wanaofikiri kuwa waoni wenye hekima na ufahamu". # kwa wasio fundishwa Hii inamaanisha wale watu wasio waza kuwa wao ni wenye hekima na wanawiwa kuyapokea mafundisho ya Yesu. # Kama watoto wadogo "kama watoto wadogo". hii inawakilisha watu wanaojua ya kuwa si wenye hekima na maarifa. # kwa kuwa ilikuwa nzuri na kupendeza katika macho yako. SAT: "kwa nyie mkiyafanya haya, yanawapendeza ninyi".