sw_tn/luk/10/08.md

12 lines
373 B
Markdown

# Na wakawapokea ninyi.
" Kama wakiwakaribisha"
# Kuleni chochote kitakachowekwa mbele yenu
AT " kuleni chakula chochote watakacho wapeni"
# Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu,
Hii inarejea ya kuwa kazi ya ufalme wa Mungu ilikuwa ikifanyika mahali pale kupitia uponyaji kwa wanafunzi wake na mafundisho ya Yesu. AT:" Munaweza kuuona ufalme wa Mungu ukiwazunguka ninyi".