# Na wakawapokea ninyi. " Kama wakiwakaribisha" # Kuleni chochote kitakachowekwa mbele yenu AT " kuleni chakula chochote watakacho wapeni" # Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu, Hii inarejea ya kuwa kazi ya ufalme wa Mungu ilikuwa ikifanyika mahali pale kupitia uponyaji kwa wanafunzi wake na mafundisho ya Yesu. AT:" Munaweza kuuona ufalme wa Mungu ukiwazunguka ninyi".