sw_tn/luk/10/08.md

373 B

Na wakawapokea ninyi.

" Kama wakiwakaribisha"

Kuleni chochote kitakachowekwa mbele yenu

AT " kuleni chakula chochote watakacho wapeni"

Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu,

Hii inarejea ya kuwa kazi ya ufalme wa Mungu ilikuwa ikifanyika mahali pale kupitia uponyaji kwa wanafunzi wake na mafundisho ya Yesu. AT:" Munaweza kuuona ufalme wa Mungu ukiwazunguka ninyi".