sw_tn/luk/10/05.md

32 lines
1000 B
Markdown

# Amani iwe katika nyumba hii
Hii ilikuwa ni salamu na baraka. Hapa "nyumba" inawakilisha watu wanaoishi ndani ya nyumba. AT: "watu wa nyumba hii na wapokee amani."
# mtu wa amani
"mtu mwenye amani." Huyu ni mtu anaetaka kuwa na amani na Mungu na watu.
# amani yenu itabaki juu yake
AT: "atakuwa na amani aliyombarikia"
# kama sivyo
AT: "kama hakuna mtu mwenye amani huko" au "mwenye nyumba sio mtu wa amani"
# itarudi kwenu
"hatokuwa na hiyo amani" au "hatoipokea hiyo amani uliyombarikia"
# Mbakie katika nyumba ile ile.
Yesu hakumaanisha waendelee kubakia ndani ya nyumba kwa siku nzima, ila wapate kulala katika nyumba mojakila usiku. AT:" Kuendelea kulala katika nyumba"
# Mfanya kazi anasitahili mshahara wake
Yesu alikuwa alikuwa akizungumzia wale watu aliowatuma huko nje. Kwa sababu wangekuwa wakiwafundisha na kuwaponya watu, hivyo watu wangewapatia mahali pa kukaa pamoja na chakula.
# Msiende nyumba kwa nyumba
AT:" Msilale sehemu/nyumba tofauti tofauti katika kila usiku"