sw_tn/luk/09/51.md

28 lines
594 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Na sas ni dhahili kuwa Yesu ameamua kwenda Yerusalem.
# Ikatokea kwamba
Hii tungo imetumika hapa kuashiri mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi
# siku zake za kwenda juu zilikaribia
"muda ulikuwa unafika wa yeye kwenda juu" au " muda ulikaribia wa yeye kwenda juu"
# aliazimia
"kudhamilia" au "kukusudia"
# weka uso wake
AT: "alifikiria akilini mwake" au "aliamua"
# kumuandalia
Hii inamaanisha kufanya mipango ya kufika katika eneo, inawezekana kuunganisha eneo la kuongealea, anaeo la kukaa, na chakula.
# Hawakumpokea
"hawakumkaribisha" au au hawakutaka abaki"