# Taarifa kwa ujumla Na sas ni dhahili kuwa Yesu ameamua kwenda Yerusalem. # Ikatokea kwamba Hii tungo imetumika hapa kuashiri mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi # siku zake za kwenda juu zilikaribia "muda ulikuwa unafika wa yeye kwenda juu" au " muda ulikaribia wa yeye kwenda juu" # aliazimia "kudhamilia" au "kukusudia" # weka uso wake AT: "alifikiria akilini mwake" au "aliamua" # kumuandalia Hii inamaanisha kufanya mipango ya kufika katika eneo, inawezekana kuunganisha eneo la kuongealea, anaeo la kukaa, na chakula. # Hawakumpokea "hawakumkaribisha" au au hawakutaka abaki"