sw_tn/luk/09/51.md

594 B

Taarifa kwa ujumla

Na sas ni dhahili kuwa Yesu ameamua kwenda Yerusalem.

Ikatokea kwamba

Hii tungo imetumika hapa kuashiri mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi

siku zake za kwenda juu zilikaribia

"muda ulikuwa unafika wa yeye kwenda juu" au " muda ulikaribia wa yeye kwenda juu"

aliazimia

"kudhamilia" au "kukusudia"

weka uso wake

AT: "alifikiria akilini mwake" au "aliamua"

kumuandalia

Hii inamaanisha kufanya mipango ya kufika katika eneo, inawezekana kuunganisha eneo la kuongealea, anaeo la kukaa, na chakula.

Hawakumpokea

"hawakumkaribisha" au au hawakutaka abaki"