sw_tn/luk/09/43.md

28 lines
677 B
Markdown

# Wote walishangazwa kwa ukuu wa Mungu
Yesu alifanya miujiza , lakini umati haukutambua nguvu za Mungu zilitumika kuponya.
# aliyo yafanya
"kwamba Yesu alifanya"
# Maneno haya yazame kwa undani masikioni mwenu
AT: "sikizia kwa makini na ukumbuke" au "usisahau hili"
# kwa kuwa mwana wa Adamu atatolewa kwenye mikoni ya wanadamu
Hapa " mikono" inamaanisha nguvu au utawala. AT : "wanadamu watamkabidhisha mwan wa Adamu kwenye mamlaka."
# mwana wa Adamu
Yesu anajiongelea mwenyewe kwenye nafsi ya tatu. AT: "mimi, mwana wa Adamu"
# Lakni hawakuelewa maana ya neno hili
AT: "wahakujua anaongelea kifo chake"
# na lilifichwa juu yao
AT: "Mungu aliwafichia maana yake"