sw_tn/luk/09/43.md

677 B

Wote walishangazwa kwa ukuu wa Mungu

Yesu alifanya miujiza , lakini umati haukutambua nguvu za Mungu zilitumika kuponya.

aliyo yafanya

"kwamba Yesu alifanya"

Maneno haya yazame kwa undani masikioni mwenu

AT: "sikizia kwa makini na ukumbuke" au "usisahau hili"

kwa kuwa mwana wa Adamu atatolewa kwenye mikoni ya wanadamu

Hapa " mikono" inamaanisha nguvu au utawala. AT : "wanadamu watamkabidhisha mwan wa Adamu kwenye mamlaka."

mwana wa Adamu

Yesu anajiongelea mwenyewe kwenye nafsi ya tatu. AT: "mimi, mwana wa Adamu"

Lakni hawakuelewa maana ya neno hili

AT: "wahakujua anaongelea kifo chake"

na lilifichwa juu yao

AT: "Mungu aliwafichia maana yake"