# Wote walishangazwa kwa ukuu wa Mungu Yesu alifanya miujiza , lakini umati haukutambua nguvu za Mungu zilitumika kuponya. # aliyo yafanya "kwamba Yesu alifanya" # Maneno haya yazame kwa undani masikioni mwenu AT: "sikizia kwa makini na ukumbuke" au "usisahau hili" # kwa kuwa mwana wa Adamu atatolewa kwenye mikoni ya wanadamu Hapa " mikono" inamaanisha nguvu au utawala. AT : "wanadamu watamkabidhisha mwan wa Adamu kwenye mamlaka." # mwana wa Adamu Yesu anajiongelea mwenyewe kwenye nafsi ya tatu. AT: "mimi, mwana wa Adamu" # Lakni hawakuelewa maana ya neno hili AT: "wahakujua anaongelea kifo chake" # na lilifichwa juu yao AT: "Mungu aliwafichia maana yake"